KOLABO YA KWANZA YA KIMATAIFA YA MSANII SELEMENTALLY

Msanii kutoka KUBUNI anayetambulika kwa jina la Selementally ameendelea kudhihirisha umahiri wake baada ya kuachia kolabo yake kubwa kabisa ya kimataifa na msanii kutoka nchini ireland anayejulikana kwa jina la Ann marrie Murray.


Fool for your love ndio jina la wimbo huo ambao ulirekodiwa mwezi wa nane 2018 na kuachiwa kwenye mtandao wa YouTube tarehe 18 March 2019 ambapo mapokezi yalikuwa makubwa na Kuvunja baadhi ya rekodi za Selementally maana ilikuwa ni Video ya mashairi tu yaan lyric video lakin views 1400 ndani ya siku chache sio mchezo kabisa.


Kingine kizuri kuhusu kolabo hii pia ilimnufaisha Ann marrie Murray kutoka nchini ireland maana watu wengi nchini Tanzania walimfahamu kupitia kolabo hii.Vituo vingi vya radio vimeendelea kuucheza wimbo huu kutoka Kila kona ya nchi ya Tanzania.Video ya mashairi ya wimbo huu hii hapa itizame na kisha utoe maoni yako katika comments

https://youtu.be/0ypQ9GIeQZE

6 views0 comments

Recent Posts

See All
  • Instagram - White Circle
  • w-facebook

CONNECT​ WITH US:​​

UYOLE MBEYA

TANZANIA

 

OPENING HOURS

THE KUBUNI CENTRE IS OPEN MONDAY TO FRIDAY. EMAIL US OR CALL TO BOOK A VISIT.

 

MONDAY - FRIDAY

10:00 AM - 04:00 PM

ADDRESS

EMAIL US