KUBUNI CUP & SELEMENTALLY CONCERT 2019

Mashindano ya Mpira wa miguu yanayofahamika kwa jina la Kubuni Cup yataanza kutimua vumbi mwezi wa Sita tarehe 10 ambapo mbali na michezo ya Mpira wa miguu lakini Msanii Selementally atakuwa akifanya maonyesho ya bure kabisa .


Selementally atakuwa akiperfom nyimbo zake Kila mwisho wa wiki huku akizindua EP yake inayofahamika kwa jina la Magogoni yenye nyimbo 6 zenye maudhui ya kuelimisha Jamii.


Mbali na michezo na burudani ya muziki Kubuni Cup itaendelea kutoa elimu mbali mbali kwa vijana kama vile masuala ya ukatili wa kijinsia na magonjwa ya ngono


Usikose kuhudhuria mengi zote na mechi ya fainali itakayochezwa tarehe 29/10 kama una mapendekezo ama ushauri wowote Tuandikie Kwenye comment

Recent Posts

See All
  • Instagram - White Circle
  • w-facebook

CONNECT​ WITH US:​​

UYOLE MBEYA

TANZANIA

 

OPENING HOURS

THE KUBUNI CENTRE IS OPEN MONDAY TO FRIDAY. EMAIL US OR CALL TO BOOK A VISIT.

 

MONDAY - FRIDAY

10:00 AM - 04:00 PM

ADDRESS

EMAIL US