Selementally using music to address gender equality #metoo

Updated: Apr 23, 2019

Anaunguruma, she is roaring (like a lion) in Swahili is an amazing hip-hop song by Kubuni Artists Selementally and Recho, illustrating the experiences of a Tanzanian woman navigating society, education and family life.


The video depicts a common experience a lot of young women face, confronting difficult challenges and hurdles that their male counterparts do not have to. It portrays the resilience, the passion, the strength of a Tanzanian – more broadly – an African woman, which is often ignored in mainstream media. Highlighting the unique experiences African women face, the song proves young Tanzanian women have a voice, African women have a voice, and if given the same chance by society, they can fight for themselves and their families.


It demonstrates the need for male allies to listen and amplify women’s voices. Men can take part in gender equality, and the global movements including #metoo but should not be central to the story. While, the story is told by Selementally, we see Sele running to amplify and share her story and struggle. Men need to help women break down the structural inequalities, starting by listening to the experiences of women. This is especially important in developing countries, where young women are reporting being more afraid to speak or to connect to global movements in their countries (Mukangu, 2018). By working together, we can create a more level playing field for young girls in Tanzania, and around the world.


This song was written, produced and artistically imagined by amazing young Tanzanians out of the Kubuni Centre, including Selementally, Recho, Boaz Arts, Pie Chart etc. Through Kubuni Music, we hope to create music that matters and influence young people across the country to make more meaningful, informed decisions about their lives.


But why is this important? Watch the video first, and we’ll continue the discussion.How can we make change?


The Olive Branch for Children, has been operating in Tanzania for over 10 years, and with projects like the Kubuni Centre, are constantly working to level the playing field by providing academic scholarships to amazing youth, creating apprenticeship/internship opportunities, and providing the space that allows youth to nourish their talents. We believe regardless of gender, people should be given opportunities to learn, develop and to start their lives on the right foot.


-----


Anaunguruma ni wimbo wa hiphop kutoka kwa Wasanii wa Kubuni Selementally pamoja na Recho.Wimbo Huu unatoa picha halisi ya Maisha ya msichana wa kitanzania na changamoto anazokutana nazo katika masuala ya kielimu, kijamii na kifamilia. Video hii inaonyesha changamoto,Ugumu na vizingiti anavyokutana navyo msichana ambapo wavulana hawakutani na changamoto hizo sababu Tu ya jinsia Zao. Video hii inaonyesha Nguvu ya msichana wa kitanzania (Mukangu, 2018). Inaonyesha uvumilivu ,kujituma na kutokukata tamaa ili kutimiza malengo yao. Pia inaonyesha kuwa wasichana wana sauti kubwa tena inayounguruma kama jamii itawapa Nafasi kuwasikiliza basi wasichana watafanya mambo makubwa na kuinua familia Zao na jamii nzima. Lakini cha muhimu zaidi video hii inaonyesha kuwa wavulana/wanaume wanatakiwa kusikiliza na kuzipaza sauti za wanawake.wanaume wana nafasi katika kuleta usawa wa kijinsia,mfano kuna kampeni inafanyika ulimwengu mzima inaitwa #metoo. Kwenye wimbo huu story inasimuliwa na selementally ambaye ni mwanaume ila anapaza sauti ya mwanamke na changamoto zake hii ni kuonyesha kuwa wanaume wanatakiwa kuwasaidia wanawake katika kutatua changamoto zao ,wanatakiwa kusikiliza muungurumo wao.Hii ni muhimu hasa kwa nchi zinazoendelea ambapo wasichana /wanawake wamekuwa wakiogopa kuripoti matatizo yao ya kijinsia hivyo kutokusikika na ulimwengu. Hivyo kwa kufanya Kazi pamoja (wanaume na wanawake ) tutaweza kutengeneza mazingira mazuri kwa wasichana wa kitanzania ,Afrika na ulimwengu mzima.

Wimbo huu umeandikwa na kufanywa na vijana kutoka Kubuni centre, Selementally, recho ,boazi na pie shot.mtayarishaji wa mdundo Ni Gachi B kutoka blackdot music.Kupitia kubuni music tunataka kuleta muziki wenye maana na ujumbe mzuri kwa jamii.muziki utakafanya vijana wa kitanzia na ulimwengu mzima kufanya maamuzi sahihi juu ya Maisha yao.


Olive Branch for Children ni shirika ambalo linafanya Kazi Tanzania kwa miaka kumi sasa na miradi yake kama Kubuni center imeendelea kutoa Nafasi kwa vijana kama kuwapatia Nafasi za masomo nje ya nchi nafasi za kujifunza Kazi na uzoefu wa kazi lakini pia vijana kuonesha vipaji vyao.Tunaamini watu wote Bila kuwabagua kijinsia au kivyovyote wanahitaji kupewa Nafasi au fursa ya kujifunza,kukua na kuanza Maisha yao katika njia sahihi

20 views0 comments

Recent Posts

See All
  • Instagram - White Circle
  • w-facebook

CONNECT​ WITH US:​​

UYOLE MBEYA

TANZANIA

 

OPENING HOURS

THE KUBUNI CENTRE IS OPEN MONDAY TO FRIDAY. EMAIL US OR CALL TO BOOK A VISIT.

 

MONDAY - FRIDAY

10:00 AM - 04:00 PM

ADDRESS

EMAIL US